TCRA Tanzania
TCRA Tanzania
TCRA Tanzania
Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo
Kanuni Mpya za Usajili wa Laini za Simu, 2023
Yapi mabadiliko ya kanuni hizi?, Vipi vitu muhimu vya kuzingatia?, Upi utaratibu wa Usajili wa laini za simu kwa watoto? Je mtu anapofarika utaratibu upi hufuatwa? Haya na mengine mengi yameongelewa kwenye kipindi maalum kinacho angazia Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa Laini za Simu, 2023. #ElimukwaUmma #MawasilianoKwaMaendeleo #tcrapodcast
Aug 17, 2023
30 min
Rasilimali ya Kikoa cha Tanzania
Fahamu kuhusu kikoa cha taifa (.tz) Get to know everything about Country Domain (.tz) and how you can leverage it for your business in Tanzania. Host: Alpha Wawa Guest: Simon Balthazar Studio: TCRA Studios #Domain #Domainname  #DotTZ #Tanzania #TCRA #KaribuTz #Awareness
Aug 1, 2023
36 min
Salaam kutoka TCRA
Kazi iendelee!
Jun 23, 2023
37 sec