
Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako
Aug 13, 2023
17 min

Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika
Aug 6, 2023
10 min

Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti
Mar 26, 2023
5 min

Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu
Mar 20, 2023
10 min

Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.
Jan 14, 2023
12 min

Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on.
Feb 20, 2021
19 min

Kuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la.
Jun 28, 2020
10 min

Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenyewe kwaiyo pambania furaha yako mwenyewe kulikoni kupambania ndoa ambayo haina furaha kabisa, you deserve more than that.
Jun 26, 2020
14 min
