Maisha Talk
Maisha Talk
Dede Issangya
Aina za wanawake ambao wapo katika ndoa na wanaume pia ambao wapo katika ndoa
10 minutes Posted Jun 28, 2020 at 4:08 am.
0:00
10:00
Download MP3
Show notes
Kuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la.