DONDOO ZA KODI
DONDOO ZA KODI
Filbert Richard Augusti
Karibu kujifunza kuhusu mambo mbalimbali ya kuhusu kodi kwa ujumla chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ukiwa na Filbert PRESIDENT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM TAX ASSOCIATION (UDTA).
Jifunze kuhusu HAKIKI STEMPU APP jinsi inavyotumika kuangalia Uhalali na Ubora wa Bidhaa mbalimbali.
Sasa ni rahisi kujua Ubora na Uhalali wa bidhaa kupitia HAKIKI STEMPU APP kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Apr 15, 2022
3 min
Maswali na Majibu muhimu kuhusu utaratibu wa ubadilishaji wa vyombo vya moto
Leo nimekuletea maswali na majibu muhimu juu ya utaratibu wa ubadilishaji wa vyombo vya moto (Pikipiki, Bajaji na Magari)
Oct 15, 2021
3 min
TAX UPDATE: Mambo muhimu ya Kuyajua kwa Mwezi huu wa Tisa (9).
Mambo matano 5 muhimu sana ya kuyajua ya Kikodi kwa mwezi huu wa Tisa.
Sep 18, 2021
1 min
Maswali na Majibu muhimu kuhusu Kodi ya Majengo kwa njia ya LUKU.
Nimekuandalia maswali yanayoulizwa na wengi pamoja na majibu yake juu ya mfumo mpya wa ulipaji wa Kodi ya Majengo kwa njia ya LUKU ulioanza kutumia July 2021 Tanzania. Usisahau kushare na wengine.
Aug 29, 2021
5 min
Kitambulisho cha Ujasiriamali
Tujifunze kuhusu sifa za kupata kitambulisho cha ujasiriamali.
Jun 5, 2021
1 min