DONDOO ZA KODI
DONDOO ZA KODI
Filbert Richard Augusti
Maswali na Majibu muhimu kuhusu Kodi ya Majengo kwa njia ya LUKU.
5 minutes Posted Aug 29, 2021 at 4:48 pm.
0:00
5:31
Download MP3
Show notes
Nimekuandalia maswali yanayoulizwa na wengi pamoja na majibu yake juu ya mfumo mpya wa ulipaji wa Kodi ya Majengo kwa njia ya LUKU ulioanza kutumia July 2021 Tanzania. Usisahau kushare na wengine.