
Every minute in your life is a better version of you,making a good relationship with God and having principles of life will help youth to be free from depression and this will reduce number of suicide happening. I hope you get healed from this podcast Amen.
Aug 30, 2022
15 min

Watu wengi upatwa na msongo wa mawazo sio kwenye ndoa,mashuleni au ata mitaani na ata baada ya kupitia changamoto nyingi hukumbilia kukata tamaa na ata kujiua kwa kuungana na AVOID DEPRESSION WITH MOMO tutaweza kupata njia za kutataua matatizo ya watu katika jamii izi na kuweza kuwatoa katika hali walizomo na kuwarudishia furaha amani na nguvu mpya.
May 8, 2021
1 hr 11 min

Wekeza mda wako kufanya kitu unachokipenda zaidi so as you live your purpose
Nov 30, 2020
2 min
