
Hatua mbili za uthibitisho ni moja ya huduma ambazo zinasaidia sana kupunguza uhalifu wa mitandaoni, Hatua hizi mtumiaji hiweka password yake ya kawaida kisha hiyo teknolojia huleta taarifa katika simu uliyoiandikisha kukuuliza kama kweli unataka kuingia katika akaunti yako hivyo pamoja na kuingiza password yako bado utahitaji kuthibitisha katika simu uliyojiandikisha kwamba ni wewe unataka kuingia katika Account yako.
Jul 12, 2020
4 min

Pata kujua ni nini haswa maana ya End to End Encryption ambayo unaiona kila siku kwa WhatsApp na pata kujua faida zake, na pia fahamu namna ya kujikinga kutokana na wadukuzi au wezi wa mtandao.
Jun 30, 2020
8 min

Katika episode hii utapata kujua uwezo wa simu aina ya Samsung Galaxy s20 Ultra na utajua ni namna gani iko tofauti nqna simu zingine pia nimekuwekea Bei ya simu zote tatu s20 s20+ na s20 Ultra, mwishoni mwa episode hii. Please share na wengine kama episodes hizi zimeleta manufaa yeyote kwako na unahisi kuna mtu atapata msaada pia kujua haya.
Jun 11, 2020
13 min

Hii makala leo itaiungumzia kwa undani zaidi simu ina ya Samsung Galaxy s20+ utapata kusikia, muundo wake, uwezo wake katika utendaji kazi, ubora wa camera, utunzaji wa chaji na mengine mengi sana.
Jun 9, 2020
11 min

Makala hii tutaangalia simu aina ya Samsung Galaxy S20, kutoka kampuni kubwa duniani inayojihusisha na kutengeneza vifaa kielekroniki ikiwa ni pamoja na SmartTv, Refrigerator, AC nakadhalika, tutaangalia kwa undani zaidi katika simu hii Bora kabisa kutengenezwa mwaka huu na itakupa njia ya kufanya maamuzi ya kununua au kutokuinunua simu hii.
Jun 8, 2020
20 min
