Think Big - Nyanzala Kilima
Think Big - Nyanzala Kilima
Nyanzala Kilima
Ni kitabu kinachohusu MALEZI ya kuwalea watoto kuja kuwa vijana mashughuli napo baadae. Na pia kinafundisha na na ya kukabiliana na changamoto na hasa linapokuja suala la malezi baada ya kutalikiana.
I Had To Lose My Virginity By Joyce Kimaro Kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Ni kitabu kinachohusu namna ya kutumia nguvu ya ndani kutimiza matakwa tuyatakayo maishani.
Jul 16, 2020
18 min
Agano la Mungu kupitia Nuhu by Nyanzala Kilima
Namna Mungu alivyoiangamiza dunia ya kwanza kwa Gharika kuu ya Maji
Jul 7, 2020
8 min
Left To Tell By Imaculee Ilibagiza
Story ya kweli ya mwanadada wa Kinyarwanda kuhusu Mauaji ya Kimbari
Jul 2, 2020
5 min
Letter To My Daughter by Maya Angelou kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Ni Barua ya Wazi aliyoiandika Dr. Maya Angelou kwa kizazi chetu hiki kikionyesha mapito yake maishani
Jun 20, 2020
18 min
Don't Be A Wife To A Boyfriend
Ni kitabu kinachofundisha namna ya kuyaishi maisha ya Useja au Ukapera. Ni mapito ambayo dada Shonda aloyapitia kipindi akiwa a single lady
Jun 19, 2020
12 min
God Where Is My Boaz by Stephen Labossiere Kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Nikitabu kinachozungumzia mahusiano na namna ya kuishi na kumpata yule mwenza uliyekusudiwa na Mungu
Jun 13, 2020
11 min
Get The Guy by Matthew Hussey kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Get The Guy ni kitabu kinachotufunza namna ya kupata Mwanaume wa maisha yako. Ni kitabu kinachofichua Siri na tabia za wanaume. Na uzuri ni kwamba kitabu hiki kimeandikwa na mwanaume hivo basi ameelezea kiundani kabida tabia zao wao kama jamii ya kiume.
Jun 10, 2020
10 min
Think Big by Ben Carson na kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Kitabu hiki kinahusu MALEZI ya kuwalea watoto ili kuja kuwa watu mashughuli hapo baadae lakini pia ni kitabu kinachohusu malezi binafsi kwa wale ambao kuna mkanganyiko wa malezi katika familia zao na hasa linapotokea suala la wazazi kutalikiana
Apr 11, 2020
19 min