THE DREAM.
THE DREAM.
abbastwalb
Sports | Life |Politics | Youth | Education | Lifestyle | Economy.
MALENGO MAKUU MAWILI YA MICHAEL JACKSON.
Michael Jackson alikuwa ni binadamu mwenye ndoto nyingi lakini Ndoto zake 2 kuu maishani zilikuwa ni: 1. Kwanza ni kuwa mwanamziki mkubwa zaidi duniani wa Pop. 2. Kuishi miaka 150. Baada ya kuifanikisha ndoto yake ya kwanza kwa ufanisi mkubwa akiwa na miaka 25 tu aliamua kuanza kuwekeza kwenye ndoto yake ya pili ambayo kwa wakati huo ilikuwa ndiyo takwa lake kubwa. Ili aweze kuishi miaka 150 (Karne moja na nusu) aliamua kufanya mambo yafuatayo: 1. Aliajiri madaktari binafsi 12 wa kumchunguza mwili wake wote hadi nywele na kucha kila siku. 2. Ilikuwa ni lazima chakula chake kipitie maabara kupimwa kabla hajala. 3. Aliwaajiri wataalamu 15 kufuatilia mazoezi, kazi na kila jambo alilofanya kila siku. USIKOSE Kusikiliza Episode IJAYO.
Apr 4, 2021
5 min
THE DREAM.  (Trailer)
Apr 4, 2021
34 sec