The Coy Podcast
The Coy Podcast
The coy podcast
Sehemu ambayo tunakutana kwenye meza moja kupiga stori mbalimbali za kimaisha ili tufurahi na tuelimike.
Mezani S1EP04: Na Marthin Kimanga - Jambazi Mstaafu
Asilimia kubwa ya maisha yetu yapotunayojifunza kupitia maisha yetu binafsi lakini kupitia maisha ya watu wanaotuzunguka kwa yale walioyapitia. Mezani kwetu leo tumepiga stori  na Marthin Kimanga ambae ameshuhudi namna alivyokuwa jambazi na kufanya matukio makubwa ya ujambazi na namna alivyojiingiza kwenye ushirikina ili kijilinda kwenye matukio waliyokuwa wanayafanya. Karibu kusikiliza na tujifunze.
Mar 1, 2023
47 min
Mezani S1EP03: Na Dada Sauda
Kuelekea siku ya wapendanao mezani kwetu tumepiga stori za mahusiano na Dada Sauda.
Feb 14, 2023
45 min
Mezani S1EP02: Na Empire Mlosi
Watu wengi wanafanya mazoezi lakini hawaoni matokeo kwa wakati sahihi, mezani leo tunachambua na kupiga stori juu ya namna nzuri ya kufanya mazoezi.
Feb 6, 2023
32 min
Mezani S1EP01: Namna sahihi ya kuanza kufanya Mazoezi.
Kwenye episode yetu hii tumeweza kuzungumza namna ambavyo mtu anaweza kuanza mazoezi kwa usahihi na kuyafurahia mazoezi.
Jan 29, 2023
20 min