STORI ZETU SHOW
STORI ZETU SHOW
NEGRO MC
Kutana na stori, simulizi na hadithi zinazohusu mikasa,majanga,misukosuko na changamoto mbalimbali wanazokutana nazo watu katika harakati za kupigania maisha na kuyatafuta mafanikio. Hayo yote ni hapa hapa kwenye STORI ZETU tukiwa na NEGRO MC.
MAPENZI YA DHATI Ep-2
Mathias anakutana na kuongea na binti vanesa shuleni.
May 18, 2020
5 min
MAPENZI YA DHATI Ep-1
MTOTO MATHIAS ANAPELEKWA SHULE KWA MARA YA KWANZA NA KUKUTANA NA VANESA KWA MARA YA KWANZA PIA.
May 10, 2020
4 min
STORI ZETU SHOW
Apr 27, 2020
46 sec