Show notes
MASOMO YA MISA, MARCHI 29, 2020DOMINIKA YA 5 YA KWARESIMAMWANZO:Zab. Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, uniokoe na mtu wa hila asiye haki. Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu.SOMO 1Eze. WIMBO WA KATIKATIZab. 130 (K) 7SOMO 2Rum. SHANGILIOYn. Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima, asema Bwana; Yeye aniaminiye mimi, hatakufa kabisa hata milele.INJILIYn.



