Seth wa East
Seth wa East
Sungusia Tenga
Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!
Work on yourself 🤍 Reminder
Share with someone who needs to hear this today they might thank you.
Mar 4, 2021
2 min
What's Love Reminder ❤️🌹
Say YES if you know this feeling
Mar 3, 2021
3 min
A Real Friend Reminder
Tag a real Friend!
Mar 3, 2021
5 min
Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable
Apple Music Kupanua wigo wake katika nchi zifwatazo Africa:  Algeria, Angola, Benin, Chad, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Republic of the Congo, Rwanda, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Tunisia na Uganda. Teachable : Wewe ni Mwalimu? Basi; Tengeneza na Uza  masomo mazuri  na Teachable Ustadi wako na uzoefu wako ni wakipekee na wenye thamani. Kwa urahisi kabisa unda tovuti nzuri,Sambaza maarifa yako na upate thawabu. https://www.apple.com/apple-music/ https://teachable.com/
May 6, 2020
16 min
Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona
Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA TUMEAMBUKIZWA TAYARI AU WALIOTUZUNGUKA WAMEAMBUKIZWA AMA LAH
Apr 16, 2020
12 min
Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu
Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019
Apr 7, 2020
20 min
CORONA ITAKOMA!
Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao. Tazama  Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood Matt Damon Laurence Fishburne Gwyneth Paltrow Jude Law
Mar 30, 2020
14 min
ENCORE
Seth wa East anauliza? Je Upo tayari!
Feb 29, 2020
1 min
Jock Joker Time. ep1
Cheka  kidunchu. It's not that offical 
Sep 18, 2018
2 min
Tabasamu
Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo
Apr 23, 2018
4 min
Load more