
Kuna muda hata uwe na nguvu au akili au watu utagundua kuna muda mambo huwa hayaendi sawa.... aijarishi upo katika hali gani ila kuna muda mambo huwa hayakai sawa.
Jul 11, 2021
11 min

Afrika ni nini, Afrika ni nani? Kwanini sisi Ni Afrika? Kwanini Afrika inaendelea kwa mwendo mdogo....
May 24, 2021
5 min

Muendelezo wa Episode iliyopita tukichambua kwanini Vijana wanakufa katika UMRI mdogo ?
May 18, 2021
19 min

Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kupoteza maisha katika umri mdogo, leo tutaangalia kwanini vijana wengi wanapoteza maisha katika umri mdogo?
May 16, 2021
20 min



