Nusu saa
Nusu saa
Joanlisa Mzava
Habari, karibu kusikiliza vipindi vyangu. Naamini katika kila mada nitakayogusa utaweza kujifunza kitu pamoja na kupata burudani😊 Ahsante.
URAFIKI/FRIENDSHIP
Episode hii itakupa ujuzi wa vitu vichache kuhusu urafiki na aina za marafiki kwenye maisha yetu ya kila siku. Karibu 😊
Aug 19, 2022
29 min
VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO
Kutoa elimu ya vitu tunavyotakiwa kuvifanya au kuvizingatia kabla ya kuanzisha mahusiano
Aug 4, 2022
32 min
NGUVU YA MSAMAHA
To give people more knowledge about forgiveness
Jul 28, 2022
30 min
Nusu saa (Trailer)
Jul 26, 2022
50 sec