NMU PODCAST
NMU PODCAST
martine
UNPACKING MENTORS AND BRAINSTORMING ON MUSIC INDUSTRY WITH LIGHTNESS & VAILETH
47 minutes Posted Aug 29, 2020 at 3:00 am.
0:00
47:51
Download MP3
Show notes

Kwenye hii episode Tumekaa na Lightness na Vaileth , kuzungumzia kiundani zaidi kuhusu mziki na tasinia kiujumla, kwenye hii episode wamegusa mambo mengi saana , zikiwemo changamoto wanazupitia wasanii wa kike kwenye kuwa mastaa wakubwa wa kimziki, wamezungumzia fashion inavyoenda, wameenda mbali zaidi na kugusia kuhusu mavideo vixens wanavyochukuliwa na jamii, lakini pia wametoa maoni yao juu ya wanavyoliona game la muziki wa Tanzania.


Kwa mengi zaidi Enjoy mazungumzo haya ambayo yapo kukupa wewe furaha na kukuacha na jambo lenye mchango chanya kwenye maisha ya kila siku.