Meza Huru
Meza Huru
Meza Huru
Aug 19, 2022 ยท 1 hr 18 min

Mezani na MEJAH #03

MP3

MEJAH ni Mwana Hip Hop na Mjasiriamali aliyegeuza mahaba yake ya uchora machata(GRAFFITI), Kusafiri, Kuendesha baiskeli  kuwa sehemu ya kipato chake Tumepata nafasi ya kuzungumza nae na anatupitisha katika historia ya maisha yake kuanzia kuandika sehemu ya wimbo wa JCB wa Kundi la Watengwa,Kuuza majarida mbalimbali mfano "The Source" mpaka kushiriki katika majukwaa mbalimbali ya Graffiti kupitia kundi la Wachata Bila kusahau ni Classmate wa January Makamba ๐Ÿ˜ Karibu tumsikilize

This podcast uses Anchor (from Spotify) for stats, tracking, and dynamic audio. What this means Episodes play from the podcast's own servers, unmodified. Not affiliated with Podbay.