Show notes
vuta picha unakuwa bora mara kumi zaidi ya ulivyo sasa ukuwaje? hiyo picha unayopata unaweza kuwa hivyo ni suala la uthubutu na kufanyia kazi ambayo utajifunza kupitia episode hii.kuwa na uhakika utakuwa bora mara 10X zaidi kwa kujua siri ambazo nimekushirikisha siku ya leo.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message



