Show notes
Tabia au hali ya kutaka kuwaridhisha watu wengine imekuwa sababu kubwa ya kutoishi maisha ya furaha na amani ya moyo. Na unajua hakuna faida yeyote unapata kwa kuridhisha watu wengine si ndiyo? Basi dakika 10 kutoka sasa baada ya Kusikiliza episode hii utaenda kuwa mtu wa kitofauti.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message



