
Mchakato wa kupata madini ya dhahabu huwa ni ngumu sana. Wengi ambao wanajihusisha na kazi hii wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutotumia vifaa bora vya kujikinga, kazi nzito na hatimaye huenda hata kuangamia iwapo maporomoko ya ardhi yanapotokea.
George Ajowi amezuru Kaunti ya Migori, Magharibi mwa nchi ya Kenya. Ameandaa ripoti ifuatayo.
Aug 17, 2023
9 min

Shirika la kimataifa la ketetea haki za binadamu Amnesty International katika repoti yake ya hivi punde limesema pande hasimu nchini Sudan, zinatekeleza uhalifu wa kivita na kutaka jamii ya kimataifa kuingilia kati kunusuru hali.
Aug 9, 2023
10 min

Kinyume na jamii nyingine nchini Kenya kundelea kupata vitambulisho bila vikwazo, jamii zinazoishi mikapani nchini humo zinaendelea kupitia changamoto za kupata vitambulisho, wengi wakilazimika kufanyiwa ukaguzi kabla ya kupewa stakabadhi hiyo muhimu.
Jul 31, 2023
9 min

Mashirika kadhaa ya kirai nchini yametuhumu polisi kwa kumia nguvu kupita kaisi kuwakabili wandamanaji wa upinzani wambao wamekuwa wakishiriki maandamano kutaka serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha.
Jul 28, 2023
9 min

Katika makala haya tunajadili dhana kuwa wanawake hawapo mstari wa mbele kupigania haki zao, ambapo utaskia kauli ya Allan Ngare kutoka Human Right Watch anayekanusha vikali dhana hiyo, pia utaskia kutoka kwa mratibu wa kina dada wanaotumia miili yao kupata riziki bi Felister Abdalla anayesema wakati umewadia jamii kuwakumbatia.
Jul 26, 2023
10 min

katika makala haya tunaangazia hali ya Kinadamu ilivyo katika mataifa ya Kenya, Burundi na DRC, hii ni baada ya masharika kadhaa ya kutetea haki za binadamu kungazia hali ilivyo katika mataifa hayo.
Jul 11, 2023
9 min

Taasisi ya Bazara Media Lab nchini Kenya imezindua mpango unalenga kutambua habari za kzeli na uongo, tasisi hi ikisema wamechochewa kuja na mpango huo kutokana na kuongezeka kwa habari ghushi katika mitandao ya kijamii.
Jul 6, 2023
10 min

Bunge la watoto wilayani Masisi Mashariki mwa DRC, linashutumu unyanyasaji unaofanyiwa watoto kwa kuhusishwa katika biashara ya ngono.
Jul 5, 2023
9 min

Nchini DRC wabunge wametunga sheria kudhibiti kiwango cha mahari kinachostahili kutolewa, hii ni baada ya wanaume wingi kudaiwa kususia ndoa kutokana na kiwango cha juu cha mahari kinachoitishwa na familia ya wasichana.
Jun 20, 2023
9 min

Mashirika ya kutetea haki za binadamu Human Right Watch na Amnesty International, yametuhumu polisi nchini Kenya kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakabili wandamanaji wakati wa maandamano yaliokuwa yameitishwa na upinzani mwezi Machi.
Jun 16, 2023
9 min
Load more
