Innocent Morris
Innocent Morris
Innocent Morris
ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris
1 hour 8 minutes Posted May 18, 2026 at 10:00 am.
0:00
1:08:25
Download MP3
Show notes
Send us Fan Mail Katika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano: Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini? Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini? Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia kukupa amani na tumaini jipya juu ya mahusiano yako na Roho Mtakatifu. Mungu akuba...