Innocent Morris
Innocent Morris
Innocent Morris
JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
1 hour 3 minutes Posted Apr 13, 2026 at 5:00 pm.
0:00
1:03:37
Download MP3
Show notes
Send us Fan Mail Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili. Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu. Chukua pen na notebook ujifunze sasa. Ubarikiwe sana Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect