Show notes
Send us Fan Mail Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu." Matendo ya Mitume



