Show notes
Send us Fan Mail MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake. Utaongozwa kuomba ili: Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu. Uishi maisha yanayompendeza Kristo. Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea. Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi. Tenga muda...



