Ikulu Tanzania
Ikulu Tanzania
Ikulu Mawasiliano
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
UAPISHO WA MKUU WA JESHI LA POLISI, INSPEKTA JENERALI CAMILLUS MONGOSO WAMBURA
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia baada ya kumuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Camillus Mongoso Wambura tarehe 21 Julai, 2022
Jul 25, 2022
14 min
MKUTANO WA 20 WA AMECEA  -  JNICC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Jul 14, 2022
16 min
HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA KWA KIPANDE CHA NNE TABORA - ISAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa  kwa kipande cha nne Tabora - Isaka  tarehe 04 Julai, 2022
Jul 4, 2022
26 min
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 (SILVER JUBILEE) YA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE  (EOTF)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 (Silver Jubilee) ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).
Jun 28, 2022
27 min
UZINDUZI WA TAASISI YA MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION - ZANZIBAR
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tarehe 19 Juni, 2022 Katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Jun 19, 2022
24 min
UZINDUZI WA MRADI WA MAJI WA MAJI KYAKA -BUNAZI MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Kyaka Bunazi, mkoani Kagera
Jun 10, 2022
13 min
KIWANDA CHA SUKARI KAGERA
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea kiwanda cha sukari cha Kagera Sugar
Jun 10, 2022
23 min
UWANJA WA KAITABA KAGERA
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini.
Jun 10, 2022
24 min
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI AKISHUHDIA UWEKAJI SAINI WA MIRADI YA MAJI KWA MIJI 28
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uwekaji saini wa Miradi ya maji miji 28, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Jun 6, 2022
16 min