HADITHI ZANGU
HADITHI ZANGU
linet shavu
Natoa masimulizi ya hadithi nilizozitunga Mimi mwenyewe. Hadithi zangu zina ubunifu wa hali ya juu na zinaelimisha, kuburudisha, kuonya, kusisimua n.k
HADITHI ZANGU (Trailer)
Jun 23, 2020
33 sec
Ni mapenzi yangu
Ni hadithi inayozungumzia binti kwa jina la Caroline ambaye alitokea kumpenda kijana Kenneth lakini kutokana na mila na desturi zetu binti kumuanza kijana wa kiume humfanya binti kuonekana hana nidhamu au wengine huweza sema ni Malaya. Hivyo binti alisononeka na kupata ugonjwa wa ajabu na ambao hakuna aliyeweza kuuelezea......
Jun 23, 2020
2 min