Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki
RFI Kiswahili
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Maoni kuhusu matangazo yetu juma hili
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuzungumzia kila ulichoskia kwenye matangazo yetu au yale yanayoendelea hapo ulipo.
Aug 31
10 min
Uganda: Muhoozi Kainerugaba kuwania urais mwaka 2031
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye pia ni mwana wa rais Yoweri Museveni, ametangaza kuwania urais ifikapo mwaka 2031.
Aug 28
9 min
Kigali : Vijana ni viongozi wa leo
Jukwaa la kubadili mtazamo wa Afrika jijini Kigali  limewataka  vijana wa  Afrika kujitokeza na kubadili mustakabali wa maisha yao badala ya kutegemea viongozi wa sasa.
Aug 26
9 min
EAC : Wiziri wa fedha kupitia simu wazidi
Nchini Kenya, serikali imesema wizi wa fedha kupitia njia ya simu umeongezeka zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka ya awali. Kuimarika kwa teknolojia ukitajwa kuwa kichocheo.
Aug 25
9 min
DRC : Serikali na waasi wa M23 wakubaliana
Serikali ya DRC na waasi wa AFC/M23 wamebaliana kuhusu mpango wa mazungumzo ya amani, hatua inayotoa nafasi ya kutekelezwa kwa mkataba wa amani wa Doha na Washington, ili kumaliza vita mashariki mwa nchi hiyo.
Aug 24
9 min
Uchaguzi nchini Zambia, upinzani yalalamikia matokeo ya uchaguzi
Nchini Zambia, Rais Hakainde Hichilema, amechaguliwa kwa muhula wa pili, akimshinda mpinzani wake wa Karibu Brian Mundubile. Hata hivyo kumeshuhudiwa malalamiko ya dosari kadhaa ikiwemo udanganyifu, wizi wa kura na vitisho, mambo yanayoripotiwa wakati wa chaguzi nyingi barani Afrika.s
Aug 19
9 min
Kuna uwezekano wa asilimia 81 Afrika kukumbwa na hali ya hewa ya Elnino
Ripoti ya wataalam wa hali ya hewa imeonya kuwa Afrika inakabiliwa na uwezekano wa aslimia 81 wa kukumbwa na hali ya hewa ya El Nino. Katika ripoti hiyo, eneo la Kusini mwa Afrika linatarajiwa kukumbwa na
Aug 18
9 min
Vuguvugu la upinzani nchini DRC C64 kutangaza kufanya maandamano Septemba 15
Mwishoni mwa juma lililopita, upinzani nchini DRC kupitia vuguvugu la C64 ulitangaza kuwa utafanya maandamano Septemba 15 kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba. Tangazo lao walilitoa baada ya muda waliokuwa wameutoa kwa Rais Felix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa kupita.
Aug 18
10 min
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni
Mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imetoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni za wagombea mbalimbali.Mgombea urais atatakiwa kutumia kiasi cha shilingi za Kenya zisizozidi Bilioni 6 huku vyama vya siasa vikitakiwa kutokuvuka matumizi ya bilioni 25 za Kenya.Tumemuuliza mskilizaji ,anazungumzia vipi kanuni hii ?na nchini mwake , kuna utaratibu kama huu?
Aug 11
10 min
Load more