
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali ni njia ya kuhifadhi historia, kuwasiliana na jamii, na kuadhimisha matukio muhimu ya maisha.
Hapa kuna vipengele muhimu vinavyofafanua muziki wa kitamaduni wa Kiturkana:
Sep 20
20 min

Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Sep 6
20 min

Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi
Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama karibu.
Aug 30
20 min

Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Aug 23
19 min

Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa hilo.
Aug 18
19 min

Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani
Aug 8
20 min

Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea kwa mara nyingine tena historia ya watu wa kabila la wabembe. Na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Mista Gave aliefariki dunia juma hili huko Uvira. Mazishi ya msanii Gave yamepangwa kufanyika Julai 22 hapo Uvira. mimi ni Ali Bilali mtangazaji asiependa makuu, Bienvenue, ama karibu.
Jul 19
20 min

Karibu katika makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya lugha ya kiswahili. Na kwenye muziki nitakuletea muziki kutoka bendi ya Lelele Afrika kutoka Mombasa nchini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue, ama Karibu.
Jul 12
20 min

Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown na kibao chake kipya kabisa NI wewe. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue.
Insert………
Jul 5
20 min

Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya uhuru wa Burundi na kwenye kipengele cha utamaduni nitakuletea tamasha la Umutwenzi lililoandaliwa na wasanii wa Burundi katika mkesha wa siku ya Uhuru wa Burundi na kwenye Muziki nitakuletea kibao cha wasanii wa Burundi walioshirikiana Pamoja. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue.
Jun 28
20 min
Load more
