
Mungu akubariki mpendwa jioni hii na hata milele.Kupe amani na raha moyoni.Amina
Jun 14, 2021
1 min

Mpendwa,ubarikiwe saana,unapoyasikiliza mashairi haya ya kumtukuza Mungu.Ni maneno ya uzima yatakayokupa faraja katika Hali yako hii,na katika ulimwengu huu uliotibuka kwa Kila tafrani ya dhiki.Natamani tushiriki pamoja ,katika tuo hili la faraja.Amina
Jun 12, 2021
1 min
