Donrugi
Donrugi
Donrugi
PUMZIKA KWA AMAN DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI
57 seconds Posted Mar 18, 2021 at 5:02 am.
0:00
0:57
Download MP3
Show notes
Napenda kutoa pole kwa watanzania wote kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa doctor John pombe joseph magufuri, ambaye amepoteza maisha kwa ugonjwa wa moyo kama ilivyo tangazwa na makamu wake wa urais mh samia suruhu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi AMEN 🙏🏾