Show notes
Sikiliza namna ambavyo (Sky) anachambua kuelekea mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii nchini Uingereza kati ya mabingwa wa FA EMIRATES, Leicester City na mabingwa wa Premier league, Manchester City.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



