Show notes
Sikiliza namna shabiki wa Yanga maarufu kama (Agrey) anavojitapa mbele ya Express, adai Yanga itashinda 3-0 na kumaliza nafasi ya 1 kwenye kundi, Vipi kuhusu kusua sua kwa Yanga kwenye michuano hii ya Kagame? Sikiliza mpaka mwisho.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



