Show notes
Simba inashuka kuumana vikali nchini South Africa dhidi ya klabu ya Kaizer Chiefs katika hatua ya Robo fainali ya michuano hiyo, mchezo wa kwanza wakiwa ugenini... Leicester City dhidi ya Chelsea ndani ya fainali ya Kombe la EMIRATES FA CUP nchini Uingereza. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



