Show notes
Sikiliza Alichokiandaa Aucland Mudu kuelekea mchezo wa Fainali ya michuano ya Klabu bingwa ulaya (UEFA) kati ya Manchester City vs Chelsea, mchezo utakaopigwa tar. 29 May 2021, una nafasi pia ya kutuachia ujumbe wako, hata kwa njia ya voice pia Karibu!--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



