Show notes
Sikiliza Jinsi sakata la usajili wa Dirisha dogo Bongo lilivyopamba moto kwa vilabu vya Yanga na Simba, wakiendelea kuchukuliana Wachezaji, Yanga wanamtaka Chama, Simba wanamtaka Mukoko. Na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



