Show notes
Sikiliza mchongo mzima kuhusu klabu ya Simba Sc (Tanzania) kushiriki michuano ya klabu Bingwa Africa kwa mwaka 2020/21 na ratiba yake akipangiwa kucheza hatua ya kwanza ya mtoano dhidi ya klabu ya Plateau United (Nigeria) mwezi November na December 2020 na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



