Show notes
Je wewe ni mazazi au mwanafunzi/mtoto? Kama hivyo basi haya maongezi yanakuhusu! Nikiwa na mgeni wetu leo Dr. Minja katika episode hii ya Youth and Sexual health, tutaongelea vitu ambavyo vina sababisha wazazi wasiweze kuongea na watoto wao kuhusu elimu hii ya afya ya uzazi. Pia tutagusia kwanini ni muhimu wazazi kuwaandaa watoto wao juu ya magonjwa yanayoweza kupatwa katika kujamiiana bila mpango ama bila kinga.

