Show notes
Unahitaji kukubalika kwenye jambo lolote basi unahitaji sana NGUVU YA KIBALI.Mahali popote hakikisha unaishi vizuri na watu ndiyo maana wahenga wanasema "Mtaji wa mtu ni watu.Ufanye nini upate nguvu ya kibali cha kukubalika machoni pa watu?Sikiliza episode hii mpaka mwisho.Share | Like | Comment | Ask



