Show notes
Tafiti za shirika la American Psychology la Marekani inaonyesha mwaka 2020 zaidi ya watu milioni 190 wanasumbuliwa na msongo wa mawazo mkubwa sana duniani kote na zaidi ya watu milioni 284 wanasumbuliwa na hofu kubwa. Msongo wa mawazo unaiba furaha kwa kujua au kutokujua. Je unajua visababishi, dalili na athari za kuwa na msongo wa mawazo? Basi sikiliza episode hii upate kujifunza na kuwa balozi kwako na wengine kwenye kukabiliana na msongo wa mawazo.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message



