Show notes
Ukweli ambao watu wengi hawapendi kusikia, Sikiliza ukweli ambao utabadili mtazamo wako pamoja na maisha yako; Sikiliza kisha ufanyie kazi ambayo umejifunza kwenye episode hii Kisha utaweza kuona unapiga hatua kwenye maisha yako.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message



