Life Proofs
Life Proofs
Life Proofs
Silaha Yangu Ni Sala
11 minutes Posted Apr 9, 2023 at 9:30 am.
0:00
11:14
Download MP3
Show notes

Katika sehemu hii, Grace Konga anaelezea jinsi alivyopitia hali ngumu katika safari yake ya elimu lakini kupitia nguvu ya maombi, aliweza kuendelea na kuvuka vikwazo vyote na hatimaye kuhitimu Chuo Kikuu.