Kitabu Cha Mormoni
Kitabu Cha Mormoni
Adalib Nunez
Kitabu Cha Mormoni: Enoshi 1
12 minutes Posted Jul 19, 2021 at 3:31 am.
0:00
12:12
Download MP3
Show notes

Enos anaomba kwa uzuri sana kwa ondoleo la dhambi zake mwenyewe na kuleta baraka kwa wale anaowapenda. Inaweza kusoma hapa: https://www.churchofjesuschrist.org/study/scriptures/bofm/enos/1?lang=swa

Samahani sana kwa shida zangu katika kusoma hii leo. Ninahitaji kusikiliza Kiswahili na kufanya mazoezi mara nyingi zaidi.