Show notes
Unadhani ni sahihi kujiweka karibu na jinsia nyingine as besties ikiwa wewe upo kwenye mahusiano? S/O kwa Timz,Lusekelo na Liku kwa kujoin nami katika episode hii na kutoa maoni yao...... karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message

