SautiPodcast
SautiPodcast
SautiPodcast
S02E10>> KITU GANI KINAKUKERA PALE UNAPOKAA NA MTU SITI MOJA KWENYE BASI ZA MIKOANI
38 minutes Posted Jul 16, 2021 at 3:07 pm.
0:00
38:45
Download MP3
Show notes
Leo tumezungumzia kero tusizozipenda pale tunapokaa siti moja na mtu katika basi ya mikoani! Nimezungumza na Lusekelo, Timothy pamoja na Liku wao wameshare experience zao....... nawe unaweza niambia kwa kunitumia message au tembelea kurasa zangu za kijamii FB: Isack Isack @Instagram: officialisackisack
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message