Show notes
Hizi ni njia nne ambazo unaweza kuzitumia kukabiliana na stress (msongo wa mawazo) na Depression (Sonona) nimepitia maandiko/machapisho ya wanasaikolojia kadhaa na kuongea na baadhi ya watu waliopitia changamoto za stress, wamenieleza njia kadhaa walizozitumia kuikabili stress nami nimeshare nanyi kupitia podcast yangu. Karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message

