Show notes
Hapa ni Kijiwe Nongwa Tutakuwa tukizungumza stori mbalimbali zilizopo mitaani, visa na mikasa! Mada ya Leo inasema "Kwanini ni vigumu kwa wanaume Kuoa mwanamke ambaye tayari ameshazaa na inakuwa rahisi kwa wanawake Kuolewa na mwanaume ambaye tayari amezaa! Sasa nimezungumza na vijana wao wametoa mitazamo yao Nawe Toa maoni yako nitasoma meseji zote! --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message

