Show notes
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza. "Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake." Waefeso


