Show notes
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha. "Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi." Waefeso



