Innocent Morris
Innocent Morris
Innocent Morris
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
23 minutes Posted Jan 29, 2026 at 5:00 am.
0:00
23:35
Download MP3
Show notes
Send us Fan Mail Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako. Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)