Innocent Morris
Innocent Morris
Innocent Morris
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
1 hour 6 minutes Posted Nov 14, 2025 at 12:00 pm.
0:00
1:06:28
Download MP3
Show notes
Send us Fan Mail Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikast...